ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumamosi, 23 Aprili 2016

Magazeti ya Leo tarehe 23/04/2016


Ndugu msomaji wetu  wiki hili katika makala maalumu tutakuletea jibu jipya linalo zinyemelea shule za sekondari kilolo linaloonesha nia ya dhati ya wakuu wa shule kuanza kuhujumu elimu bure : Tutatazama jipu hili limeiva au bado?





















Alhamisi, 21 Aprili 2016

Jumatano, 20 Aprili 2016

Esperance yaimaliza Azam fc ya Tanzania


Azamu imeaga mashindano hayo ya shirikisho baada ya kufungwa mabao 3 Kwa 0 dhidi ya Esperance ya Tunisia mabao hayo matatu dhidi ya Esperance yalifungwa na wachezaji  Saad Bguir dakika ya 47, Haithem Jouini  aliyefunga Kwa kichwa kwa kumalizia Mpira uliotemwa na goli kipa wa timu ya azam aisha Manula dakika ya 80 na fakhreddine Ben youssef akifunga bao La tatu akimalizia pasi ya idriss mhirsi

katuni kutoka mwananchi communication