ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumatatu, 6 Machi 2017

Wema Sepetu akutana na mh Godbless Lema


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wikendi iliyopita alitumia muda wake kufanya mazungumzo na kada mpya wa chama hicho, Wema Sepetu ikiwa ni siku mbili tangu aachiwe kwa dhamana baada ya kukaa gerezani kwa takribani miezi minne.

Magufuli atoa siku 7


 
RAIS John Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati na Madini impe mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote eneo la kuchimba makaa ya mawe katika eneo la Ngaka lililopo wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma.

Kauli ya Rais anena waliofukuzwa msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 05 Machi, 2017 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

Gazeti la MAWIO laibwaga Serikali Mahakamani. Kurejea mtaani Alhamisi wiki ijayo

Hatimaye gazeti la MAWIO lililofutwa na serikali ya Tanzania na kuacha kuchapishwa kwa zaidi ya mwaka mmoja, limerejea mtaani kwa uamuzi wa Mahakama Kuu.

Serikali ililifuta gazeti hilo na kulizuia kuchapishwa kwa njia yoyote ile Januari 15, mwaka jana- 2016.

Mabasi Happy Nation na Abood yagongana na lori Mlima Kitonga na Kujeruhi Watu 12


Watu 12 wamejeruhiwa na watatu kati yao wamelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria na lori moja, katika eneo la Mlima wa Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

Magazeti ya leo jumatatu ya tarehe 6/03/2017