Kurasa

Alhamisi, 18 Februari 2016

Breaking News: Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Yametoka....Yatazame Hapa


 Baraza la Mitihani Tanzania  limetangaza  matokeo  ya mtihani wa kidato cha nne 2015  ambapo  ufaulu  umeshuka  kwa 1.85%  toka  69.75%  mwaka 2014  hadi 67.91%  mwaka  2015.

Matokeo  haya  yamepangwa  kwa  mfumo  wa Division.
 
Toa maoni yako kupitia kikoti m blog. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni