Azamu imeaga mashindano hayo ya shirikisho baada ya kufungwa mabao 3 Kwa 0 dhidi ya Esperance ya Tunisia mabao hayo matatu dhidi ya Esperance yalifungwa na wachezaji Saad Bguir dakika ya 47, Haithem Jouini aliyefunga Kwa kichwa kwa kumalizia Mpira uliotemwa na goli kipa wa timu ya azam aisha Manula dakika ya 80 na fakhreddine Ben youssef akifunga bao La tatu akimalizia pasi ya idriss mhirsi

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni