Kikoti.com

Kikoti.com: habari za uhakika

Kurasa

▼

Jumapili, 5 Juni 2016

Magazeti ya Leo jumapili ya tarehe 05/06/2016



NEW  MWALIMU EDUCATION CENTRE (KIKOTI EDUCATION CENTRE)
Mahali: Ilula madizini katika majengo ya kanisa katoriki kigango cha madizini karibu na soko la TASAF.
Inawatangazia kuwa inaendelea na utoaji wa huduma (tuition) kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita: tuition hii ni mahususi kwaajili ya likizo ya mwezi wa sita itaanza usajiri wake kuanzia tarehe 30/05/2016. Saa mbili asubuhi(8:00)
Ada ni shilingi Elfu kumi(10,000) kwa muda wote wa likizo kwa kidato cha I mpaka cha VI
- kwa wanafunzi wa kidato cha nne(form 4) tutafanya solving ya past paper na maswali mbalimbali
pia mwanafunzi atapewa peni bure na notes zilizo andaliwa na walimu mahili mara tu baada ya kufanya usajiri. Nyote mnakaribisha kwa mawasiliano piga simu no +255769694963 au +255784428256.




















Unknown kwa 07:10:00
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti

Kunihusu

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili
Inaendeshwa na Blogger.