Jumamosi, 17 Septemba 2016
Ijumaa, 16 Septemba 2016
Kutoka Mahakamani: Zombe Aachiwa Huru, Mwenzake Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa
Mahakama
ya Rufani imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa upelelezi
wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Mrakibu wa Polisi (SP) Christopher Bageni,
baada ya kumtia hatiani kwa kosa ka mauaji ya wafanyabiashara watatu wa
madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro.
Wakati
Bageni akihukumiwa kitanzi, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Dar
(RCO), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Abdallah Zombe na maafisa
wengine wawili wa Polisi, Ahmed Makelle na Rajabu Bakari wameachiwa
huru, baada ya mahakama kuwaona kuwa hawana hatia.
Bageni amehukumiwa adhabu hiyo leo baada ya mahakama ya Rufani kukubaliana na rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
DPP alikata rufaa akipinga hukumu ya Mahakama Kuu kuwaachia huru katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara hao.
Wafanyabiashara
hao, Savings Chigumbi, Ephraim Chigumbi, Mathias Lunkombe na dereva
teksi wa Manzese, Juma Ndugu, waliuawa Januari 14,2006, kwa kupigwa
risasi Mbezi Luis, Dar.
Alhamisi, 15 Septemba 2016
Jumatano, 14 Septemba 2016
Jumanne, 13 Septemba 2016
WALIOFANIKIWA KUDAHILIWA
Selection za TCU kwa walioomba kujiunga na vyuo mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2016/2017 zimetoka.
==> Bofya hapa kuangalia <<Selection Status >>
NB: Tumia index number yako na password
==> Bofya hapa kuangalia <<Selection Status >>
NB: Tumia index number yako na password
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)