ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumanne, 26 Aprili 2016

Iringa mkoa wetu sote: CHANGIA MADAWATI

serikali ya mkoani Iringa yadhamiria kumaliza kadhia ya upungufu wa madawati . Mkuu wa mkoa wa Iringa anawaomba wakazi wa Iringa waishio jijini Dar es salaam kujitokeza kwa wingi tarehe 04/05/2016 kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye ukumbi wa Ubungo external jijini humo kwa mkutadha wa kuchangia madawati.
Binafsi naomba Wanairinga na Watanzania kwa ujumla kujitokeza na kumuunga mkono  mkuu huyu wa mkoa mwenye dhamilra ya dhati kabisa kumkomboa mwanafunzi wa kitanzania anayeketi chini ilihali anayaandaa maarifa ya kulitumikia taifa lake.

HONGERA SANA MAMA MASENZA 
Tunaamini TUtashirikiana vema na wakazi wa iringa kuitambulisha iringa 
CHANGIA MADAWATI, OKOA IRINGA NAKIZAZI CHA BAADAYE 

Hakuna maoni: