ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Alhamisi, 17 Novemba 2016

Safari ya serikali kuhamishia ofisi zake Dodoma inazidi kupamba moto

Mchakato wa serikali kuhamia Dodoma umepamba moto baada ya huduma mbalimbali kuanza kutolewa katika Mji huo.
Leo wakazi wa Dodoma walijitokeza Kwa wingi katika hospitali ya Benjamini mkapa inayopatikana ndani ya chuo kikuu cha Dodoma  kupima afya zao hasa kupima matatizo ya moyo kutoka kwa madaktari bingwa wa India
 Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakisubiri kupata huduma katika hospitali hiyo ( Picha na Godfrey)



Hii ndio safari ya Dodoma ambayo sasa inazidi kukamilika kutokana na miundombini na huduma mbalimbali za jamii kukamilika zikiwepo huduma za Afya , Maji, umeme na miundombinu ya barabara


Hakuna maoni: