Jumatatu, 25 Julai 2016
Jumapili, 24 Julai 2016
Kapombe afuata nyayo za Messi, Aguero
By Abducado Emmanuel on July 24, 2016
Azam FC
UNAWEZA
ukashangazwa lakini huu ndio utambulisho mpya wa beki wa kulia wa Klabu
Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, ambaye
ameamua kuja na staili mpya ya kufuga ndevu zake kuelekea msimu ujao.
Kapombe amewashangaza watu wengi kufuatia staili yake hiyo, aliyoanza kuonekana nayo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, tokea alipoanza mazoezi mepesi ya gym Jumanne iliyopita.
Beki huyo ameanza mazoezi baada ya kupona ugonjwa wa Pulmonary Embolism (donge la damu kuziba mishipa ya damu katika mapafu), uliokuwa ukimsumbua na kumfanya akae nje ya dimba kwa muda wa miezi mitatu sasa.
Akizungumza na mtandao wa klabu www.azamfc.co.tz kuhusu staili yake hiyo mpya, Kapombe amesema staili hiyo ndio itakayomtambulisha msimu ujao na kudai kuwa hawezi kuzinyoa ndevu hizo mpaka pale atakapofunga ndoa na mchumba’ke aliyekuwa naye sasa.
“Mchumba’ngu ndio kaniambia nifanye hivi, ameniambia napendeza sana nikiwa na ndevu hizi, nasikiliza ushauri wake na nitazinyoa tutakapofunga ndoa hivi karibuni,” alisema.
Kapombe, 23, aliyecheza jumla ya dakika 3188 msimu uliopita, amefuata nyayo za wachezaji mahiri duniani kutoka Argentina, Mchezaji Bora wa Dunia, Lionel Messi na staa wa Manchester City, Sergio Aguero waliowahi kufuga ndevu zao lakini wao wakikamia ubingwa wa Copa America mwaka huu.
Wawili hao waliweka kiapo cha kutonyoa ndevu hizo wakati wakiiongoza Argentina kwenye michuano ya Kombe la Copa America wiki chache zilizopita wakiamini kuwa ni uchawi utakaowapa taji la michuano hiyo na kuondoa mkosi wa kukosa mataji, lakini walishindwa kwa kufungwa na Chile kwa mikwaju ya penalti 4-2 kwenye mchezo wa fainali.

Kauli ya CHADEMA baada ya wanachama wake kutangaza kujiunga CCM
Wanachama hao waliokihama chama hicho ni Fred Mpendazoe ambaye alikuwa mwanachama wa CCM pia aliwahi kuwa Mbunge wa Kishapu mwaka 2005 hadi 2010 kupitia CCM, Mgana Msindai aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipokuwa akimkabidhi kadi Mgana Msindai mara baada ya kutangaza kuhamia chama hicho.
Mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu ya
CHADEMA alipohojiwa jana wakati kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho
kinaendelea alisema kuwa, hawana muda wa kukaa na kuanza kumjadili mtu
mmoja mmoja anayesemekana kuhama chama hicho.
Kamati Kuu ni kikao kizito sana,
hatuwezi kuacha kujadili masuala ya msingi na kuanza kuwajadili hao
wanaosemekana kuwa wamehama chama, alisema mjumbe huyo.
Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe akiwapungia mkono
waandishi wa habari jijini Dar es salaam mara baada ya kutangaza nia
yake ya kuondoka CCM na kujiunga na Chama cha Jamii(CCJ) Machi 2010.
Mwigizaji
Jackline Wolper akiongea katika mkutano wa Edward Lowassa aliofanya na
Wanawake wa CHADEMA jiji Dar es Salaam Agosti 2015.
Alichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM
Leo July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Leo July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM
baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama
hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika
Baadhi ya
viongozi wakiwemo wa vyama vya upinzania walishiri akiwemo mwenyekiti wa
TLP Augustino Mrema, lakini wapo pia waliotamani kufikisha hisia zao
kuhusu tukio hilo na mmojawapo ni mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe
kupitia account yake ya facebook aliandika maneno haya…
>>>’Napenda
kumpongeza Rais John Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa
Chama chake cha CCM akiwa Mwenyekiti wa Tano chama hicho. CCM imeendelea
kudumisha utamaduni wa kukabidhiana Uongozi kila baada ya muda‘
‘Jambo ambalo ni la kujifunza hasa kwa vyama vya Siasa nchini na barani Afrika. Nataraji
kwamba Rais na Mwenyekiti mpya wa CCM ataona umuhimu wa Vyama vya Siasa
kuendelea kufanya Siasa bila vikwazo na kwa mujibu wa Sheria za Nchi
yetu.’ –Zitto Kabwe
‘Demokrasia inaimarisha Amani kwa kupaza sauti za HAKI. Karibu kwenye changamoto za kuongoza Vyama vya Siasa ndugu Rais.‘ –Zitto Kabwe
ADVATISMENT kikoti education centre
KIKOTI EDUCATION CENTRE (K.E.C)
MAHALI: ILULA MADIZINI KARIBU MAJENGO YA KANISA KATORIKI
Mzazi/Mlezi wa ……………………………………………….kikoti education centre inapenda kukutarifu
KIKOTI EDUCATION CENTRE (K.E.C)
MAHALI: ILULA MADIZINI KARIBU MAJENGO YA KANISA KATORIKI
Mzazi/Mlezi wa ……………………………………………….kikoti education centre inapenda kukutarifu
wasanii wamuaga kikwete kwa huzuni kubwa
Wasanii
wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti
cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.
Wasanii
wameyasema hayo usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma walipofanya tamasha
la Usiku wa Wasanii kwa ajili ya kumuaga baada ya kustaafu rasmi
uwenyekiti wa chama hicho na kumuachia uongozi Rais John Magufuli
ADVATISMENT kikoti education centre
KIKOTI EDUCATION CENTRE (K.E.C)
MAHALI: ILULA MADIZINI KARIBU MAJENGO YA KANISA KATORIKI
Mzazi/Mlezi wa ……………………………………………….kikoti education centre inapenda kukutarifu
ADVATISMENT kikoti education centre
KIKOTI EDUCATION CENTRE (K.E.C)
MAHALI: ILULA MADIZINI KARIBU MAJENGO YA KANISA KATORIKI
Mzazi/Mlezi wa ……………………………………………….kikoti education centre inapenda kukutarifu
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)