Ijumaa, 15 Septemba 2017
Alhamisi, 14 Septemba 2017
Jumapili, 10 Septemba 2017
Alhamisi, 7 Septemba 2017
Tundu Lissu Apigwa Risasi Akiwa Dodoma
Mbunge
wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana
huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa
nyumbani kwake Mkoani Dodoma.
Akithibitisha
kutokea kwa tukio hilo Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na
Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuwa Mh. Lissu amepigwa
risasi zaidi ya mbili alipokuwa ametoka bungeni na kwenda nyumbani
kwakwe kwa ajili ya chakula cha mchana.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)