Mh diwani Wa kata ya Nyalumbu anatarajia kuanza kufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutoa tathimini ya utendaji kuanzia tarehe   23/04/2017 mpaka 5/05/2017 
Wanakata ya Nyalumbu mnakaribishwa katika maeneo yenu mikutano itakapofanyika ili ujue maendeleo na mipango ya diwani katika kata yako, Tazama ratiba ya mikutano yote hapa 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni