ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumamosi, 30 Desemba 2017

Wanafunzi na walimu wapongezwa

wanafunzi na walimu kutoka Kituo cha utoaji wa elimu za masomo ya ziada ya KIKOTI EDUCATION CENTRE, wamepewa pongezi na hongera na wakazi mbalimbali wa kijiji cha nduli kutokana juhudi zao za kutoa elimu kwa wanafunzi lakini pia kujari wanafunzi wako kusoma kwa vitendo ikiwemo kuwapeleka sehemu mbalimbali ya kitaaluma

wanafunzi wakiendelea kufuatilia taarifa kutoka kituo cha utabiri wa hali ya hewa Iringa Mjini Nduli

Hakuna maoni: