ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Ijumaa, 19 Mei 2017

Breaking news:Mtu mmoja achomwa moto Ilula

MTU mmoja amefariki Dunia Kwa kuchomwa na moto katika Mji Mdogo Wa  ilula akisadikia kuwa ni mwizi na wanachi wa mtaa Wa isele katika Kata ya ilula tukio hili lililotokea usiku wa Leo ni mwendelezo Wa wananchi kujichukulia sheria mkononi huko ilula
Mhe diwani akiongea na kituo chetu cha redio amelaani tukio hili na  kuwaasa wananchi kuacha kujichukulia sheria mkonono
Maudhui ya Picha yamehifadhiwa kutokana na kuwa mabaya

Hakuna maoni: