ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumatano, 17 Mei 2017

Breaking news:Paka Wa ajabu asumbua ilula

Paka wa ajabu amejitokeza katika maeneo ya Mji Mdogo Wa ilula ambapo amekuwa aking'ata watu na kutokomea kusikojulikana
Taarifa za awali zinadai takribani watu saba wamejeruhiwa na paka Huyo ambaye juhudi za kumtafuta ili aweze kuangamizwa zinaendelea na uongozi Wa serikari za mitaa Kwa kushirikiana na wakazi Wa maeneo haya

Hakuna maoni: