Baada ya kampeni zilizo dumu kwa wiki moja, wanafunzi wa chuo kikuu Dar es salaam kitivo cha uwalimu Iringa (MUCE) wamefanya uchaguzi leo, Kwa hali ya amani na utulivu wa hali ya juu na hatimaye kuwapata viongozi wa serikali yao, Uchaguzi huo uliokuwa unawagombea zaidi wawili katika kila nafasi ulilazimu kuwachukuwa siku nzima kufanyika na hatimaye Bw. BAKARI, IBRAHIMU ameibuka mshindi katika nafasi ya urais, Kwa matokeo mengine ungana nasi kesho

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni