wanafunzi wa chou kikuu cha DODOMA wamegoma sababu Kushereweshwa kwa fedha za kujikimu.. wanafunzi wengi wanatoka maeneo ya vijijini watoto wa maskini, wanafunzi hao wamegoma na kufanya maandamano ambayo yaliwaza kuzua mapambano baina ya askari FFU na wananachuo hiyo imekuja siku moja baada ya naibu waziri kutoa majibu haya
“Niwaombe
radhi wanafunzi wa vyuo vikuu.. Tuliongea na viongozi wa vyuo pamoja na
bodi na Wizara inayosimamia, kulikuwepo na utaratibu wa kuipa fedha
hizo na mpaka jana tayari fedha ilishatoka Wizara ya fedha.. wataalamu
ambao wanashughulikia kuzifikisha hizo fedha kwa wanafunzi watoe kwanzaq
fedha hizo ndio wakae vikao kuliko kusubiri kupitisha kwa utaratibu
ambao wanafunzi wataendelea kupata shida”
“Serikali
tunajitahidi kuhakikisha kwamba tunawafikishia kwa wakati fedha..
Serikali imeshatoa fedha na taasisi zinakopita wajitahidi leo leo vyuo
vyote viwe vimeshapata fedha hizo”
hivi ndivo hali ilivokuwa chuo kikuu DODOMA leo
FFU WAKIANDAA ULINZI
Wanachuo wakiwa tayari kwa maandamano
wanachuo wakisubiri utaratibu
wanachuo wakiwa kwenye makundi
Mapamano yakianza kati ya polisi na wanachuo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni