Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Habari zinaarifu kuwa , basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .
Inaarifiwa
kuwa Wanafunzi hao ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao
walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya mashindano na shule za
karatu.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni