ILULA IRINGA TANZANIA

ILULA IRINGA TANZANIA
KIKOTI.COM BLOG - ILULA IRINGA TANZANIA / 0769694963 .......................................

Jumatatu, 27 Machi 2017

KAMATI YA BUNGE ARDHI MALIASILI NA MAZINGIRA YAKAGUA MRADI WA KUWEZESHA UMILIKISHAJI WA ARDHI (LTSP)


Picha:Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabulla Akifafanua  Namna Fomu ya Umiliki Ardhi inavyo tumika ili kupata taarifa za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya Kumiliki Ardhi mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira na Wananchikatika kijiji cha Mikoleko  Wilaya ya Kilombero- Morogoro  

Picha: Mratibu wa Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi Godfrey Machabe akisoma Ripoti ya maendeleo ya mradi huo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya  Mradi huo Wilayani Kilombero-Morogoro
Picha:Mwenyekiti wa kijiji cha Mikoleko Wilaya ya kilombero akielezea ushiriki wa Wanakijiji katika zoezi la kumilikisha ardhi ndani ya kijiji hicho Mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Mazingira.

Hakuna maoni: